Shule 10 zilizofanya Vizuri Matokeo Kidato cha Pili 2017 | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

1/9/18

Shule 10 zilizofanya Vizuri Matokeo Kidato cha Pili 2017

Shule zilizofanya vizuri, zilizoingia kumi bora ni
  1. Feza Girls na Shamimu Abdallah Mohamed
  2. Feza Girls na Rukia Hamisi Abdallah
  3. Canossa na Jacqueline Mbarwa Kivuyo
  4. Canossa na Marina Emmanuel Kashumba
  5. Canossa na Cate Penia Mgambo
  6. Canossa na Sylivia Titus Tibenda
  7. Canossa na Zuhura Hassan Sapi
  8. Canossa na Gladys Mokili Maluli
  9. Elizabeth na Emmanuel Kimaro
  10. Magdalena Weraufoo Munisi
Kufuatia matokeo hayo shule binafsi zimeibuka kidedea huku Tanga, Mtwara, Lindi na Ruvuma zimetoa matokeo mabaya na kupelekea kushika mkia ambapo Tanga imetoa shule 6 zilizioingia kumi bora kushika mkia.
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin