Waziri Mkuu Amtembelea Mama Maria Nyerere | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

1/21/18

Waziri Mkuu Amtembelea Mama Maria Nyerere


Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Bi. Mary Majaliwa wakizungumza na Mama Maria Nyerere wakati walipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere eneo la Mwitongo, Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa , Mkewe Bi. Mary Majaliwa na Mama Maria Nyerere wakiwapungia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin