Breaking News: Jacob Zuma Ajiuzulu Urais Afrika Kusini | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

2/15/18

Breaking News: Jacob Zuma Ajiuzulu Urais Afrika Kusini

Image result for Jacob Zuma ajiuzulu urais Afrika Kusini
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu usiku huu baada ya shinikizo kubwa kutoka kwenye chama chake cha ANC.
Bunge la Afrika Kusini lilikuwa lipige kura ya kutokuwa na imani na Zuma asubuhi ya Alhamisi, kura hiyo sasa haitapigwa tena.
Kiongozi wa ANC na Makamu wa Rais Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuchukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo yenye uchumi mkubwa zaidi Afrika.
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin