Morgan Tsvangirai Afariki Dunia | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

2/14/18

Morgan Tsvangirai Afariki Dunia


Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia.Morgan Tsvangirai alikuwa akitibiwa Afrika Kusini

Waziri huyo mkuu wa zamani wa Zimbabwe, 65, alikuwa akisumbuliwa na saratani na alikuwa akipata matibabu katika hospitali moja nchini Afrika Kusini. Bw Tsvangirai na chama chake cha Movement for Democratic Change alikuwa akipambana kisiasa na utawala wa rais Robert Mugabe.

chanzo: BBC
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin