Bombardier Q400 iliyokuwa na abiria 67 imewaka moto wakati inatua! Watu 50 wahofiwa kufariki

 
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ndege ya Bangladesh airline iliyokuwa na abiria 67 pamoja na wafanyakazi 4 kuwaka moto ilipokuwa inatua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Tribhuvan, Jumatatu ya leo
Taarifa zinasema watu 17 wameokolewa na wamepelekwa hospitali kwa matibabu huku miili mingi ikiwa imelazwa chini

Ndege hiyo iliyokuwa inatokea Dhaka ilishika moto mara moja baada ya kugusa ardhi wakati inatua kwenye njia yake, hivyo kupoteza uwelekeo na kuanguka.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini Nepal, Sanjiv Gautam amesema kuwa ndege haikuwa na udhibiti wakati ilipojaribu kutua. Alisema ndege iliruhusiwa kutua kutokea upande wa Kusini lakini imetoka upande wa Kaskazini
ndege.jpg
UPDATES:
>>>Basanta Bohora, mmoja wa majeruhi wa ajali alisema wakati wa kuruka walipokuwa wanatoka Dhaka, ndege iliruka vizuri lakini wakati ndege ilipokuwa inatua Kathmandu, ndege ilianza kuonyensha tabia ambazo si za kawaida

>>> Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la nchi hiyo anasema watu 50 wamefariki katika ajali hii

>>>"Tumepokea miili 50 hadi sasa," alisema msemaji wa Jeshi Gokul Bhandari. Watu kadhaa wameokolewa kutoka kwenye moto mkali wa ndege aina ya Bombardier Q400 wakiwa wameungua, alisema.
======

Several passengers are feared dead as a US-Bangla Biman aircraft carrying 67 passengers and four crew crashed at Tribhuvan International airport in Nepal’s Kathmandu on Monday.

Airport security sources said about several passengers who were rescued in ‘critical condition’ have been sent to hospital while there were many bodies lying in a charred condition.

“We cannot give the exact number of casualty as we are still finding out all details. At the moment, our priority is to rush the victims to the hospitals,” sources from the spot said, adding the fire has now been controlled.

The plane that was coming from Dhaka caught fire immediately after it hit the ground off the runway, the source added. The cause of the accident is not yet known.

Source: Nepal plane crash LIVE Updates: Bangladesh aircraft catches fire at Kathmandu airport, over 30 feared dead
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Powered by Blogger.