Mayanga atangaza kikosi cha Stars, Samatta, Msuva, Bocco, Ulimwengu ndani | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

3/8/18

Mayanga atangaza kikosi cha Stars, Samatta, Msuva, Bocco, Ulimwengu ndani

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakacho wakabili Algeria na DR Congo katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA.

Stars itashuka dimbani nchini Algeria kuikabili timu ya taifa hilo Machi 22, 2018 wakati ile dhidi ya DR Congo ikitarajiwa kuchezwa Machi 27, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin