Picha: Mwili wa mchezaji wa Fiorentina ulivyowasili kanisani kupewa heshima ya mwisho | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

3/8/18

Picha: Mwili wa mchezaji wa Fiorentina ulivyowasili kanisani kupewa heshima ya mwisho


Mwili wa marehemu Davide Astori ambaye alikuwa mchezaji na kepteni wa Fiorentina, umeagwa leo na kupewa heshima za mwisho kwenye kanisa la Santa Croce church, Florence huku maelfu ya watu na mastaa mbali mbali wa soka wakihudhuria. Hapa nchini ni picha za mwili huo ulipowasilishwa kanisani hapo.


Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin