Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa Mtanzania yeyote atakayejaribu kuandamana. | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

3/9/18

Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa Mtanzania yeyote atakayejaribu kuandamana.

CHATO, GEITA: Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa Mtanzania yeyote atakayejaribu kuandamana. Amesema kitakachowakuta watahadithia.


Rais amesema kuwa wapo wameshindwa kufanya siasa za kweli wamebakia kuandamana kama wapo Baba zao wanatuma kuandamana wataenda kuwasimulia
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin