Yanga yakubali Kipigo Nyumbani | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

3/6/18

Yanga yakubali Kipigo Nyumbani


Wawakilishi wa Tanzania Bara wa michuano ya klabu bingwa Barani Afrika klabu ya Yanga hii leo wamekubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa timu ya Botswana ya Township Rollers FC mchezo uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin