Nafasi za Ajira jeshi la polisi na vigezo vyake | Yuvinusm-Habari Unazozitaka
Breaking News
Loading...

4/16/18

Nafasi za Ajira jeshi la polisi na vigezo vyake


Leo April 16, 2018 Jeshi la Polisi nchini linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin